Mshirika wako wa TEHAMA kwa suluhisho za kidijitali zilizo salama, za kisasa na zenye uhakika.
Tunajivunia kutoa suluhisho bora zaidi kwa wateja wetu kwa kutumia teknolojia ya kisasa
Fickle Development Technology ni kampuni ya TEHAMA inayotoa suluhisho za kisasa kwa shule, taasisi, makanisa, vikundi na biashara. Tunazingatia ubora, uaminifu na kasi katika kufikisha teknolojia inayorahisisha mawasiliano na usimamizi wa taarifa.
Tunatoa aina mbalimbali za huduma za TEHAMA kwa kukidhi mahitaji ya wateja wetu
Kutuma SMS kwa wingi kwa wazazi, wateja, waalikwa na vikundi kwa haraka na kwa uhakika. Bei nafuu na ufikiaji wa papo hapo.
Utengenezaji wa website za kisasa, responsive na zenye mvuto kwa shule, taasisi na biashara. Pamoja na usimamizi wa jina la kikoa.
Mifumo ya usimamizi wa wanafunzi, ada, matokeo na taarifa muhimu. Rahisisha utendaji kazi wa taasisi yako.
Msaada wa kitaalamu wa TEHAMA, ushauri wa mifumo na matengenezo. Tunakaa karibu nawe daima kwa masuala yoyote ya teknolojia.
Utengenezaji wa programu za simu (Android & iOS) kwa biashara na taasisi zako. Zinazofanya kazi nzuri na kuvutia watumiaji.
Kusanifisha na kusimamia mitandao ya kompyuta kwa ofisi na taasisi. Hakikisha uhusiano wa haraka na salama.
Tuachie sisi teknolojia, wewe zingatia maendeleo yako. Tupigie simu au tuandikie kwa ufumbuzi wa haraka wa matatizo yako ya kidijitali.
Wasiliana kupitia WhatsApp